ABOODMSUNI NA SOKA LA BONGO: Villa watolewa na FFU; hawataki kuitwa vibonde

ABOODMSUNI NA SOKA LA BONGO: Villa watolewa na FFU; hawataki kuitwa vibonde: Baada ya mchezo wa Villa Squad FC vs Simba SC kumalizika na Villa kuwa vidume bin wababe. Mashabiki wa Simba SC, walitanda mlangoni wakis...
Read More

Villa squad 0 Azam fc 2

Villa 0 Azam 2Villa Squad wameshindwa kubeba point tatu mbele ya Azam, baada ya kukubari  kufungwa magoli mawili kwa bila. katika mchezo uliomalizika jioni ya Leo Sep 13, 2011, huko Chamazi.  Kwa matokeo hayo Azam anakuwa na point 8 huku Villa akibakiwa na 5 zake. . TimuPtsPWDLGFGAGD Azam...
Read More

Villa squad vs Azam leo Chamazi

Katibu wa Villa Iddy Godigodi Leo Septemba 13 Vijana machachari wa timu ya Soka ya Villa Squad wanatarajia kushuka dimbani kumenyana na wenyeji wao timu ya Azam FC, katika dimba hilo lililopo nje ya mji, Chamazi.  Mchezo huo utakua ni wa tano wa ligi kuu ...
Read More

Siku mabeki wa Villa Squad walivyomtoa nishai..Boban Mkwakwani...

...Kwa msaada wa mtandao wa Globalpublishe...
Read More

Simba Sc 1-0 Villa Squad Fc

Issa Mnally na Khatimu Naheka BAO lililofungwa na mshambuliaji wa Simba, Gervais Kago, lilisababisha kuibuka kwa vurumai kubwa ndani ya Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga juzi Jumatano. Vurumai hizo ziliibuka katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Villa Squad. Mashabiki...
Read More

VILLA SQUADS FC ‘Kambi moto’ NA MIKAKATI YA'VPL 2011-2012

      Yatamba  kufanya maajabu ligi kuu, watoa onyo kwa wanaowabeza. Katibu Mkuu wa Villa Fc, Iddy Godigodi (kushoto) na Mjumbe wa kuteuliwa wa Villa fc, Ali Kindoile ( kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa kupokea vifaa kwa ajili ya...
Read More

VILLASQUAD KUJIACHIA CHAMANZI

Chuji aanza rasmi mazoezi Villasquad katika viwanja vya jangwani na ameonyesha uwezo mku...
Read More